Salvation Gospel International Church (SGIC) ni huduma ya Kikristo iliyoasisiwa na Mtumishi wa Mungu Ev. Wilson Augustine, ikihubiri injili kamili ya wokovu isiyogoshiwa, uponyaji wa kimwili na kiroho na urejesho wa mahusiano na Mungu kupitia toba na badiliko la kweli. Kanisa linawajenga waamini kiroho, kukuza vipawa, karama na huduma na kuaandaa viongozi wenye maono kupitia nguvu ya Roho Mtakatifu. Msingi mikubwa ya huduma ni maombi, utakatifu, mahusiano binafsi na Mungu, ukaribu na Mungu, kuhubiri injili kwa waliopotea, ujazo wa nguvu za Roho Mtakatifu. Mawasiliano: +255(0)749636618